

26 May 2023, 12:13 pm
Na Hafidh Ally Washiriki wanaotarajia kushiriki mbio za Great Ruaha Marathon 2023 ambazo zitafanyika katika hifadhi ya taifa ya Ruaha, wamehakikishiwa kuwepo kwa usalama wakati wote wa mashindano hayo. Akizungumza na Nuru FM mratibu wa shirika la Sustainable Youth Development…
26 May 2023, 9:58 am
Na Frank Leonard Halmashauri ya manispaa ya Iringa imesema hakuna namna wafanyabiashara ndogo (Wamachinga) walioondolewa katika maeneo yasiyo rasmi mjini Iringa wataachwa warudi katika maeneo hayo. Onyo hilo limetolewa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa, Ibrahim Ngwada leo baada…
26 May 2023, 9:52 am
Na Frank Leonard Madiwani watano na watendaji zaidi ya 10 wamezuiwa kwa zaidi ya saa mbili kuingia katika kikao cha Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Iringa kama adhabu baada ya kuchelewa kwenye kikao hicho kilichokuwa kimepangwa kuanza saa 2:00…
24 May 2023, 2:08 pm
Na Hafidh Ally Shirika la Sustainable Youth Development Partnership (SYDP) linaloratibu mbio zilizopewa jina la Great Ruaha Marathon 2023 zitakazofanyika katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha mkoani Iringa, tarehe 8 Julai mwaka huu limeanza kufanya zoezi la usajili wa washiriki. Mbio…
23 May 2023, 5:44 pm
Na Frank Leonard Madereva bajaji 132 wa mjini Iringa wameanza mafunzo ya udereva yatakayowawezesha kupata leseni za kuendesha vyombo hivyo vya moto baada ya mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa Daudi Yassin kuahidi kubeba gharama zake. Mafunzo…
17 May 2023, 3:37 pm
Na Ansgary Kimendo Mwili wa mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na miezi tisa umekutwa ndani ya mfuko katika dampo lililopo eneo la kihesa sokoni kata ya Kihesa manispaa ya Iringa asubuhi ya leo. Wakizungumza kwa masikitiko baadhi ya wakazi wa eneo…
16 May 2023, 10:35 am
Na Hafidh Ally Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa iringa Dkt. Ritta Kabati ameiomba serikali kutenga fedha za kukarabati barabara ya Dodoma-Iringa katika mlima Nyang’oro. Kabati ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma katika kipindi cha maswali na majibu huku akihoji ni…
15 May 2023, 1:16 pm
Na Hafidh Ally Mdau wa maendeleo Elia Kitomo amekabidhi mashine ya kuprint na kutoa copy katika shule ya msingi Nyamihuu ili iwasaidie katika shughuli za Kitaaluma. Akizungumza wakati wa kukabidhi mashine hiyo, Elias Kitomo ambaye ni Mkurugenzi wa Kitomo Hardware…
11 May 2023, 10:50 am
Na Fabiola Bosco Mashindano ya mbio za magari yanayofahamika kwa jina la CMC Automobile Sao Hill Forest Rally of Iringa yanatarajiwa kuanza tarehe 13 mwezi wa tano katika Misitu ya asili Sao Hill . Kwa mujibu wa mwandaaji mkuu wa…
11 May 2023, 9:23 am
Uoga wa wazazi na walezi kuzungumza na watoto wao waliopo katika rika balehe manispaa ya Iringa umetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la mimba katika umri mdogo. MWANAHABARI WETU FABIOLA BOSCO AMETUANDALIA TAARIFA KAMILI……………… MWISHO