Nuru FM

Habari Kitaifa

17 Novemba 2022, 5:31 mu

Asilimia 70 Ya Magonjwa Ya Milipuko Yanatokana Na Uchafu

Imeelezwa kuwa udhibiti wa usafi binafsi na wa mazingira unasaidia kupunguza asilimia 70 ya magonjwa ya milipuko yanayotokana na uchafu ikiwemo Kipindupindu. Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Dkt. Beatrice Mutayoba mara baada ya kufanya usafi…

13 Novemba 2022, 11:22 mu

DC aagiza wazazi 191 wakamatwe

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Jamhuri William ameagiza kukamatwa kwa wazazi wa wanafunzi 191 ambao hawajafanya mtihani wa kidato cha pili kutokana na utoro, ili wafikishwe kwenye vyombo vya sheria. Msako huo wa nyumba kwa nyumba utaenda sambamba…

11 Novemba 2022, 5:24 mu

Kauli ya Nape malalamiko ya kupunjwa ‘bando’

Waziri wa Mawasiliano Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape amesema wizara yake imeiagiza Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) kuwaita watoa huduma baada ya kutokea sintofahamu ya bei ya vifurushi. Spika Dk Tulia Ackson amemtaka Waziri huyo kufafanua uwepo wa utata…

11 Novemba 2022, 5:13 mu

Idadi Watoto wanaozaliwa na Sikoseli nchini inatisha

Takwimu zinaonesha kuwa, watoto takribani elfu kumi na moja huzaliwa na ugonjwa wa Sikoseli kila mwaka nchini Tanzania hali ambayo imekuwa tishio kwa Taifa la baadae. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa huduma za Tiba Prof. Paschal Ruggajo wakati wa uzinduzi…

11 Novemba 2022, 5:10 mu

Serikali mbioni kumwaga ajira kada mbalimbali

Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deo Ndejembi amesema Serikali nchini, imetenga nafasi 30,000 za ajira kwa kada mbalimbali katika mwaka wa 2022/23. Ndejembi ametoa kauli hiyo hii leo Bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa…

5 Oktoba 2022, 5:19 mu

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewatoa hofu Watanzania kuhusu Ugonjwa wa Ebola uliopo nchi jirani na kuwataka waendelee kuchukua tahadhari za kujikinga dhidi ya ugonjwa huo. Waziri Ummy ameyasema hayo wakati wa ziara ya kukagua utayari wa kukabiliana na…