Nuru FM

afya

16 April 2024, 10:09 am

Madaktari bingwa kutoka JKCI kuweka kambi Iringa

Serikali imefanya jitihada za kukabiliana na Magonjwa yasiyoambukiza kwa kuwaleta wataalamu kutoka Taasisi ya JKCI Mkoani Iringa kuweka Kambi ya kuwahudumia wakazi wa Mkoa huu. Na Adelphina Kutika MAMIA ya Wananchi kutoka maeneo mbalimbali mkoani Iringa  wamejitokeza kwa wingi kwenye…

8 March 2024, 4:40 pm

Wanawake Iruwasa watoa msaada kwa wagonjwa

Mashuka yaliyokabidhiwa Hospitalini hapo yatawasaidia wagonjwa wanaolazwa. Na Mwandishi wetu Ikiwa Leo ni Siku ya Wanawake Duniani wanawake kutoka Idara ya Maji Safi na Mazingira Iringa (IRUWASA) wametembelea Hospitali ya Rufaa Ya Mkoa wa Iringa na kutoa mashuka 20 kwa…

4 March 2024, 12:24 pm

Iringa kuzindua mkakati wa kukabili udumavu

Licha ya takwimu kuonesha kuwa hali ya udumavu nchini imepungua hadi kufikia asilimia 30 mwaka 2022, bado mikoa ya Iringa na Njombe ina hali ya udumavu wa kutisha. Na Frank Leonard Wakati baadhi ya wadau wakionekana kutoziafiki takwimu zinazoonesha mkoa…

28 February 2024, 9:37 am

Madiwani Iringa waomba kondomu

Na Hafidh Ally Ongezeko la uzalishaji wa pombe ya kienyeji aina ya ulanzi na mahusiano yake na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) limewaibua baadhi ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Iringa wakitaka usambazaji wa kondomu katika vilabu vinavyouza…

15 February 2024, 7:23 pm

Rhythm Foundation yatoa msaada kwa wagonjwa hospitali ya Ipamba

Na Fabiola Bosco Taasisi ya Rhythm Foundation nchini Tanzania imetoa msaada kwa wagonjwa katika hospitali ya Ipamba mkoani Iringa katika siku ya wapendanao duniani ambayo huadhimishwa kwa matukio tofauti ulimwenguni. Akizungumza baada ya kutoa msaada huo Shariffa Salum Mdau kutoka…