Nuru FM

Uncategorized

7 March 2024, 3:29 pm

Wafanyabiashara Kihesa waomba wakarabatiwe soko

Licha ya Viongozi Kutoa ahadi kuhusu ukarabati wa Soko hilo lakini utekelezaji wake umekuwa Mgumu. Na Godfrey Mengele Wafanyabiashara wa soko la Kihesa maarufu kama kihesa sokoni lililopo halmashauri ya Manispaa ya Iringa wameitaka serikali kuwajengea soko lenye hadhi ya…

6 July 2023, 10:31 am

Rais Samia afanya mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri

Na Mwandishi wetu RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri na kuunda wizara mpya. Rais Samia amevunja Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara na kuunda Wizara tatu; Ofisi ya Rais…

17 April 2023, 4:41 pm

Mbunge Kabati aiomba Serikali kukarabati Barabara korofi Iringa.

Wananchi wa Iringa wanashindwa kufanya shughuli za kiuchumi kutokana na ubovu wa miundombinu ya Barabara. Na Hafidh Ally Serikali imeombwa kukarabati barabara Korofi za Mkoani Iringa ambazo zimekuwa hazipiti katika kipindi cha Mvua ili kufungua shughuli za kiuchumi. Hayo yamezungumzwa…

27 February 2023, 12:27 pm

Wanawake wenye Ulemavu Waiangukia Serikali

Kutokana na changamoto wanazokumbana nazo watoto wenye ulemavu wawapo shuleni. Na Fabiola Bosco. Baadhi ya wazazi wenye watoto walio na ulemavu wameiomba serikali kuwakumbuka kwa kuwapa usaidizi wa namna ya kuwahudumia Watoto wenye ulemavu wawapo shuleni pamoja na upande wa…

30 January 2023, 7:00 am

Shirika la ndege la KLM laiomba Radhi Tanzania

Shirika la ndege la KLM limetoa ufafanuzi na kuomba radhi juu ya kusitisha safari zake za ndege kuja Tanzania pamoja na kutoa taarifa ya uwepo wa machafuko Nchini. Kupitia barua ya Meneja wa Air France-KLM Tanzania, kwa Waziri wa Ujenzi…

13 November 2022, 11:22 am

DC aagiza wazazi 191 wakamatwe

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Jamhuri William ameagiza kukamatwa kwa wazazi wa wanafunzi 191 ambao hawajafanya mtihani wa kidato cha pili kutokana na utoro, ili wafikishwe kwenye vyombo vya sheria. Msako huo wa nyumba kwa nyumba utaenda sambamba…

31 October 2022, 5:07 pm

Watanzania wafika milioni 61.74, Wanawake waongoza kwa idadi

Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwezi Agosti, 2022 yametangwazwa na kuonesha kuwa idadi ya watanzania imefikia watu milioni 61,741,120, ambapo wanawake wapo milioni 31.6 sawa na asilimia 51 huku Wanaume wakiwa ni milioni 30.5 sawa na asilimia…