Nuru FM

Jamii

13 March 2023, 12:57 pm

Elimu Matumizi Mitandao kwa Watoto

Kutokana na kukua kwa teknolojia wazazi wametakiwa kuwafundisha watoto wao matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii. Na Joyce Buganda. Mtaalamu wa masuala ya teknolojia na Tehama wilayani Mufindi Bw. Hasan Chunya amesema  juu ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii…

13 March 2023, 12:21 pm

Wasanii Wakemea Ukatili Iringa

Kufuatia matukio ya kikatili yanayoendelea kushamiri katika mkoa wa Iringa wasanii wenye asili ya Iringa wameamua kuungana kutengeneza filamu yenye maudhui ya kupinga ukatili. Na Adelphina Kutika. Wasanii maarufu  wa filamu nchini ambao  asili yao kutoka  mkoa wa Iringa  wamesema…

17 February 2023, 4:53 pm

Wazazi Sababu Mimba za Utotoni Iringa

Wazazi na walezi mkoa wa Iringa watajwa kuwa chanzo cha mimba za utotoni kwakutozungumza na watoto wao kwa uwazi pindi yanapotokea mabadiliko ya kimwili Na Fabiola Bosco. Wazazi na walezi mkoani Iringa wametakiwa kuzungumza na watoto kwa uwazi pindi yanapotokea…

11 September 2022, 3:33 pm

Wazazi watakiwa kufanikisha Mabaraza ya Watoto

Rais, Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi na walezi nchini, kuwaruhusu watoto wao kushiriki kwenye Mabaraza ya watoto yaliyopo katika ngazi za Kata hadi Taifa, ili kujenga vipaji vyao vinavyopatikana kwenye mabaraza hayo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na…