Nuru FM

Afya

17 Novemba 2022, 5:31 mu

Asilimia 70 Ya Magonjwa Ya Milipuko Yanatokana Na Uchafu

Imeelezwa kuwa udhibiti wa usafi binafsi na wa mazingira unasaidia kupunguza asilimia 70 ya magonjwa ya milipuko yanayotokana na uchafu ikiwemo Kipindupindu. Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Dkt. Beatrice Mutayoba mara baada ya kufanya usafi…

11 Novemba 2022, 5:13 mu

Idadi Watoto wanaozaliwa na Sikoseli nchini inatisha

Takwimu zinaonesha kuwa, watoto takribani elfu kumi na moja huzaliwa na ugonjwa wa Sikoseli kila mwaka nchini Tanzania hali ambayo imekuwa tishio kwa Taifa la baadae. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa huduma za Tiba Prof. Paschal Ruggajo wakati wa uzinduzi…

23 Oktoba 2022, 9:40 mu

Wananchi 112,669 Iringa Wamepata Chanjo Ya Uviko 19

JUMLA ya wananchi 112,669 wamepata chanjo ya UVIKO 19 katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ambapo ni sawa asilimia 91ya walengwa ambao ni 123,418 kwa lengo kulinda afya za wananchi wasipatwe na maambukizi ya ugonjwa wa Corona. Akizungumza wakati wa…

13 Oktoba 2022, 5:43 mu

EBOLA: Tuchukue Tahadhari Sahihi

Wataalamu wa Afya wametakiwa kujua ugonjwa wa Ebola na kuwaelimisha wengine ili kujua jinsi ya kujikinga pamoja na kuchukua tahadhari sahihi namna ya kukabiliana na ugonjwa huo. Hayo ameyasema Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Urio Kusirye wakati akifungua…

5 Oktoba 2022, 5:19 mu

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewatoa hofu Watanzania kuhusu Ugonjwa wa Ebola uliopo nchi jirani na kuwataka waendelee kuchukua tahadhari za kujikinga dhidi ya ugonjwa huo. Waziri Ummy ameyasema hayo wakati wa ziara ya kukagua utayari wa kukabiliana na…

11 Juni 2022, 8:17 mu

TBS Yateketeza Bidhaa Za Vyakula Na Vipodozi Katavi

BIDHAA mbalimbali za vyakula na vipodozi vyenye thamani takribani ya shilingi za Kitanzania milioni 7 zimeteketezwa katika dampo la Manispaa ya Mpanda baada ya kukutwa hazikidhi viwango kwa mujibu sheria ya Viwango Na 2 Sura 130. Bidhaa hizo zilizoteketezwa mjini…