Nuru FM

Makala fupi kuhusu chanzo mimba za umri mdogo

11 May 2023, 9:23 am

Uoga wa wazazi na walezi kuzungumza na watoto wao waliopo katika rika balehe manispaa ya Iringa umetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la mimba katika umri mdogo.

MWANAHABARI WETU FABIOLA BOSCO AMETUANDALIA TAARIFA KAMILI………………

MWISHO