Mufindi FM

TAKUKURU yaokoa shilingi Milionii 2.4 za Vikoba

15 September 2023, 18:20

Naibu Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Iringa Bahati Haule akikabidhi pesa taslimu Sh. Mil 2.4 zilizoleheshwa kupitia TAKUKURU rafiki kata ya Bumilayinga wilayani Mufindi. Picha na Gift Mario

Na Gift Mario

Tasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Wilayani Mufindi kupitia programu ya TAKUKURU Rafiki imeokoa kiasi cha shilingi Milionii 2.4 zilizokuwa zimedhurumiwa na baadhi ya viongozi wa kikundi cha vikoba Bumilayinga SACCOS katika kata ya Bumilayinga.
Kikundi hicho kilivunjwa mnamo tarehe 30/12/2022 lakini wanakikundi hakufanikiwa kupewa fedha zao mpaka mkutano wa TAKUKURU rafiki ulipo fanyika mnamo tarehe 30/03/20223 ambapo tasisi hiyo ilichukuwa kero hiyo na kufanyia kazi.
TAARIFA YA KINA INASIMULIWA NA MWANAHABARI WETU GIFT MARIO

Report ya TAKUKURU
Sauti ya Gift Mario