Mufindi FM

CCM kuendelea kuisimamia serikali utekelezaji miradi

12 September 2023, 15:23

George Kavenuke Mwenyekiti CCM akizungumza katika hafla ya kukabidhi majengo kwa kata ya Luhunga. picha na Kelvin Mickdady

Na Kelvin Mickdady

Mwenyekiti Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mufindi Ndugu. George Kavenuke amesema chama kitaendelea kuisimamia serikali katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.

Kavenuke ameyasema hayo akiwa kwenye hafla ya kukabidhi majengo ya zahanati na nyumba ya mganga katika kata ya Luhunga kutoka kwa familia ya mwekezaji Geoff Fox.

Sauti ya Goerge Kavenuke