Mpanda FM

habari za kitaifa

4 April 2024, 4:28 pm

Mwanaume akutwa amenyongwa na mwili wake kutupwa Katavi

Picha na Mtandao “Baada ya polisi kuuchukua Mwili wa Marehemu kikosi cha ulinzi na usalama kilirudi tena kufanya Misako ya Watu wanaokunywa Pombe Saa za Kazi“ Na Samwel Mbugi-Katavi Mtu mmoja anaekadiriwa kuwa na  Umri kati ya Miaka 40-45 amekutwa…

30 March 2022, 1:16 pm

AJINYONGA BAADA YA KUMJERUHI MUMEWE

KATAVI.  Mkazi wa kitongoji cha Kamlenga, Kijiji cha Sibwesa wilayani Tanganyika, Mande Emanuel (30) amejinyonga baada ya kumjeruhi mumewe, Dotto Enos (35) kwa kumkata mapanga. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, ACP Ally Makame amedhibitisha…

25 October 2021, 6:32 pm

Marieta Mlozi Awafunda Wanawake Katavi

KATAVI Afisa maendeleo ya jamii manispaa ya mpanda marieta mlozi amewataka  wanaume kuacha tabia  ya kuwakatiza wanawake  kujishungulisha katika kazi mbalimbali za kujiingizia kipato. Akizungumza na mpanda radio fm Marieta ameeleza kuwa wanawake wengi wamekuwa wakipitia  vitendo vya  unyanyasaji kijinsia…

13 October 2021, 8:58 am

Mufti Mkuu Tanzania: Bakwata tafuteni hati

OKTOBA 6, 2021 KATAVI Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuberi amewataka makatibu wa misikiti yote Mkoani katavi kuhakikisha wanapata hati miliki za viwanja vyote vinavyomilikiwa na baraza la waislam Tanzania BAKWATA. Shekh mkuu wa Tanzania ameyasema hayo…