Mpanda FM
Mpanda FM
30 April 2026, 10:49
Mradi huu umewasaidia wakulima na wafugaji kujua namna bora ya kufanya kilimo na ufugaji kisasa. Na Joyce Buganda Mradi wa mfumo wa mzunguko wa chakula (CFS) unaotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, hususan katika skimu za umwagiliaji za Kiwele…
27 April 2026, 3:24 pm
Ukiozesha mtoto mdogo ambaye hajafikia umri sahihi hilo ni kosa la jinai mzazi atachukuliwa hatua kwa mujbu wa sheria kuna baadhi ya wazazi wanasema mtoto mwenyewe karidhia hiyo haikubaliki mtoto hana maamuzi ya kuingia kwenye ndoa kabla ya muda” Sajenti…
26 April 2026, 12:37 pm
Linapotajwa jambo la thamani ya fedha kwenye mradi si tu miundombinu imara bali hata miundombinu hiyo kutoa huduma kwa wakati ili malengo ya serikali yaweze kufikiwa. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Aswege Enock Kaminyoge ametoa siku…
23 April 2026, 8:20 pm
“Tuko tayari kushirikiana na jamii kutokana na namna inavyotuunga mkono kwenye bidhaa zinazozalishwa na kiwanda chetu cha Covenant Edible Oil”. Na James Mwakyembe Baada ya mkuu wa wilaya ya Kyela Josephine Manase kuomba wadau kuchangia wahanga wa mafuriko yaliyoikumba wilaya…
15 March 2026, 19:48
Mbunge wa Jimbo la Malindi, Muhsin Haji Ussy, amesema utoaji wa motisha ni muhimu kuhamasisha wanafunzi kusoma kwa bidii ili waweze kusaidia familia na jamii yao. Na Mary Julius. Mbunge wa Jimbo la Malindi, Muhsin Haji Ussy, amewaahidi zawadi wanafunzi…
2 March 2026, 17:38
Kukamilika kwa skimu hiyo kunatarajiwa kuongeza eneo lenye miundombinu ya umwagiliaji kutoka ekari 4,500 zinazotegemea mifumo ya asili hadi kufikia ekari 15,000 zenye miundombinu bora na ya kudumu. Na Hafidh Ally Mradi wa skimu ya umwagiliaji ya Mfereji wa Mkombozi…
24 February 2026, 9:40 am
Uzinduzi huo umefanyika wakati wa kampeni ya NG’ARISHA JIJI inayolenga kuhamasisha usafi wa mazingira na kujenga utamaduni wa utunzaji wa Mji. Na Mariam Mallya Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude, hivi karibuni amezindua rasmi vikundi vya vijana vya ukamataji…
19 February 2026, 16:33
Na Mary Julius. Afisa Saikolojia wa Wizara ya Afya, Dkt. Mussa Khamisi Juma, amewataka wanafunzi wanaoshiriki mashindano ya Qur’an kujiepusha na vitendo vyovyote vya kihalifu na kuzingatia maadili mema yanayowajenga katika misingi ya dini. Dkt. Juma ameyasema hayo wakati akitoa…
15 February 2026, 08:56
Na Mary Julius. Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Hudhaima Mbarak Tahir, amewataka waandishi wa habari kuzingatia maadili ya taaluma yao, kuthibitisha taarifa kabla ya kuzichapisha au kuzitangaza, ili kuepuka upotoshaji unaoweza kuleta taharuki au mgawanyiko katika jamii. Hudhaima ameyasema…
13 February 2026, 20:44
Wazazi na walezi wametakiwa kuhakikisha wanawaandikisha shule mapema watoto wenye mahitaji maalum, mara tu wanapofikia umri wa kuanza masomo ili wapate haki yao ya msingi ya elimu sawa na watoto wengine. Na Hakika Mwinyi. Wito huo umetolewa na Afisa Elimu…