Mpanda FM

AFYA

21 March 2024, 10:55 am

Wananchi Katavi hawana elimu ya utunzaji wa kinywa, meno

Picha na Mtandao “Utafiti uliofanyika umegundua kuwa watoto  wenye umri wa miaka sita hadi tisa ndio waathirika wakubwa“ Na Samwel Mbugi -Katavi Wananchi Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa maoni  mseto kuhusiana na maadhimisho ya wiki ya afya ya kinywa…

15 March 2024, 6:01 pm

KATAVI, TMDA Yabaini Ongezeko la Ugonjwa wa Figo

“Kuna changamoto ya Ini na Figo kushindwa kufanya kazi, na Saratani kuongezeka katika Jamii Yanayosababishwa na  matumizi mabaya ya dawa kwa baadhi ya Wananchi” Picha na Mtandao Na Samwel Mbugi-katavi Mamlaka ya dawa na vifaa tiba [TMDA] kutoka makao Makuu…

7 March 2024, 3:09 pm

MPANDA,Homa ya Ini Yaongezeka kwa Kasi

“Daktari wa Manispaa ya Mpanda  Coronel Bruno amesema kuwa  ongezeko la Ugonjwa huo inatokana na Wananchi kutokuzingatia  kupima Afya kila mara ili kubaini.” Picha na Mtandao. Na Veronica Mabwile-katavi Baadhi ya Wananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi  wameiomba Serikali mkoani…

5 March 2024, 3:13 pm

Mfungwa atuhumiwa kumbaka mtoto wa miaka 13 Katavi

“Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amesema suala hilo lipo katika uchunguzi na hatua kali za kisheria zitachukuliwa huku wao kama serikali wamesikitishwa kutokea kwa tukio hilo” Na Gladness Richard-Katavi Binti mwenye umri wa miaka 13 mkazi wa kijiji…

20 February 2024, 5:24 pm

Wabeba taka Mpanda wameshindwa kazi?

Wananchi wamesema mtaa huo umekuwa na harufu kali ambayo imekuwa haivumiliki na wamekosa namna  ya kufanya hivyo wanahifadhi kwenye mifuko  kwa sababu taarifa za taka hizo wamelalamika kwa viongozi wao bila mafanikio yeyote. Na Samwel Mbugi-Katavi Wananchi wa kata ya…

12 February 2024, 9:00 am

Mama atupa kichanga kichakani Mpanda

Wananchi wa mtaa huo wameonesha kusikitishwa na tukio hilo huku wakiomba sheria ichukue mkondo wake” Picha na Ben Gadau Na Ben Gadau-Katavi Mtoto mchanga wa umri wa siku moja amekutwa ametupwa katika mtaa wa mlimani site kata ya Uwanja wa…

9 February 2024, 3:08 pm

Mpanda-Wananchi msitelekeze wagonjwa hospitali

Baadhi ya wagonjwa wanaofikishwa katika hospital Hutelekezwa na ndugu zao    na kuleta mzigo kwa serikali.Picha na Mtandao Na Veronica Mabwile-Katavi. Wito umetolewa kwa wananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi   kuacha taabia  ya    kuwatelekeza   wagonjwa wakati wakupatiwa  huduma za matibabu ili…

20 November 2021, 11:35 am

Huduma Mkoba Kuimarisha Zoezi la Chanjo ya Uviko 19

Serikali mkoani katavi imekuja na mpango  harakishi na shirikishi wa kutoa  huduma mkoba  ya uviko19 ambavyo itawasaidia wananchi kupata chanjo hiyo  popote  pale walipo. Hayo yamebainishwa na mkuu wa mkao wa katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko   ambapo ameeleza kuwa wamekuja na…