Mpanda FM

Matukio

20 March 2024, 4:02 pm

Mpanda, Vibaka Waibuka Mpanda Girls

“Mwenyekiti wa mtaa wa Mtemi Beda Edisi Kazwika amekiri kupokea tarifa za uwepo wa matukio ya uhalifu katika eneo hilo na kuwahakikishia hatua za usalama zinachukuliwa kwa wananchi wanaopita katika eneo hilo” Picha na mtandao Na Rachel Ezekia-katavi Wananchi wa…

19 March 2024, 3:19 pm

Katavi, Wafanyabiashara 24 Mbaroni Kupandisha bei ya Sukari

Picha na Mtandao “Ni wajibu wa kila mfanyabiashara kuzingatia bei  elekezi inayotolewa na Serikali ili kupunguza usumbufu kwa mlaji“ Na Betord Benjamin-Katavi Jumla ya Wafanyabiashara 24 Katika Manispaa ya Mpanda Mkoani  Katavi wamekamatwa kutokana na kuuza sukari kinyume na bei…

7 March 2024, 1:55 pm

KATAVI, Aliebaka Afariki Akipatiwa Matibabu

“Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Katavi Kaster Ngonyani amesema mtuhumiwa alifikishwa mikononi mwa Jeshi hilo akiwa na hali mbaya hivyo muda mchache baada ya kufikishwa hospitali alifariki dunia na mwili kukabidhiwa kwa ndugu kwaajili ya mazishi” Picha na…

5 March 2024, 3:13 pm

Mfungwa atuhumiwa kumbaka mtoto wa miaka 13 Katavi

“Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amesema suala hilo lipo katika uchunguzi na hatua kali za kisheria zitachukuliwa huku wao kama serikali wamesikitishwa kutokea kwa tukio hilo” Na Gladness Richard-Katavi Binti mwenye umri wa miaka 13 mkazi wa kijiji…

12 February 2024, 9:00 am

Mama atupa kichanga kichakani Mpanda

Wananchi wa mtaa huo wameonesha kusikitishwa na tukio hilo huku wakiomba sheria ichukue mkondo wake” Picha na Ben Gadau Na Ben Gadau-Katavi Mtoto mchanga wa umri wa siku moja amekutwa ametupwa katika mtaa wa mlimani site kata ya Uwanja wa…

9 February 2024, 2:56 pm

42 wanaswa Katavi wakiwa na bangi, wizi, pombe haramu

Watuhumiwa 12 wamekamatwa wakiwa na mali za wizi,11 wakiwa na pombe haramu ya moshi,7 wakiwa na nyara za serikali na 12 wakiwa na madawa ya kulevya. Picha na Gladness Richard Na Gladness Richard-Katavi Jeshi la polisi     Mkoani Katavi limeendelea…

30 March 2022, 4:29 pm

RADI YAUWA NG’OMBE 28 KATAVI

KATAVI Ng’ombe 28 kati ya 52 waliokuwa pamoja wanatoka malishoni wa kaya tano tofauti kijiji cha Kabage kata ya Sibwesa Wilayani Tanganyika mkoa wa katavi zimekufa baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua na upepo mkali. Hayo yameelezwa na…

30 March 2022, 1:16 pm

AJINYONGA BAADA YA KUMJERUHI MUMEWE

KATAVI.  Mkazi wa kitongoji cha Kamlenga, Kijiji cha Sibwesa wilayani Tanganyika, Mande Emanuel (30) amejinyonga baada ya kumjeruhi mumewe, Dotto Enos (35) kwa kumkata mapanga. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, ACP Ally Makame amedhibitisha…