Mpanda FM

MAPATO

9 February 2024, 2:29 pm

Wananchi Katavi watakiwa kuacha kuchukua mikopo umiza

Wananchi wamehimizwa kujenga tabia ya kuchukua mikopo katika taasisi za kifedha zinazozingatia sheria na miongozo ya serikali zikiwemo benki ili kuepuka usumbufu wa mikopo umiza. Na Veronica Mabwile-Katavi Imeelezwa kuwa Uwepo wa Elimu ndogo juu ya madhara ya tokanayo na…

20 November 2021, 1:06 pm

Maoni ya Wananchi juu ya Katazo kwa Madalali

Baadhi ya wananchi manispaa ya mpanda  mkoani katavi wamekuwa na maoni tofauti juu ya katazo la madalali wa nyumba  kupewa kodi ya mwezi mmoja. wakizungumza na mpanda  radio fm wananchi hao wameleza kufurahishwa kwa marufuku hiyo huku wengine wakionesha kutoridhishwa…

20 November 2021, 10:32 am

TRA Mpanda Yakusanya Mil. 371 kwa Mwezi

Mamlaka ya mapato wilaya ya  mpanda Mkoani katavi  imefanikiwa kukusanya shilingi milioni mia tatu sabini na moja kwa kipindi cha mwezi augusti sawa na asilimia themanini na tisa ya lengo lililopangwa. Kauli hiyo imetolewa na afisa kodi daraja la kwanza…