Mpanda FM

KILIMO

18 March 2024, 2:08 pm

Waliofyekewa mahindi Katavi washukuru mchango wa Mpanda Radio FM

“Wakulima hao walifyekewa mahindi baada ya kile kilichosemwa ni ukiukwaji wa sheria ya kulima mazao marefu kwa Manispaa ya Mpanda katika maeneo yaliyokatazwa, lakini yaliacha maswali baada ya kadhia hiyo kuwakumba wakulima watatu pekee huku maeneo mengine mazao yakiendelea kuachwa“…

5 February 2024, 4:14 pm

DC Mpanda: Waliofyekewa mahindi walipwe

“Chama Cha Mapinduzi hakipo tayari kuona baadhi ya wananchi wakidhurumiwa haki zao.Picha na Deud Daud Na Festo Kinyogoto Mjumbe wa halamashauri kuu ya CCM taifa, katibu wa itikadi na Uenezi Chama cha Mapinduzi  PAUL MAKONDA Amemuagiza mkuu wa wilaya ya…

3 November 2022, 5:58 am

Wanawake Mkoani Katavi Wameeleza Walivyonufaika na Wiki ya Mwanakatavi

KATAVI Baadhi ya wanawake wajasiliamali mkoani Katavi wameeleza namna ambavyo wamenufaika na maonesho ya wiki ya Mwanakatavi yanayolenga kuhamasisha kilimo na Utalii. Wakizungumza wakati wa maonesho hayo wajasiliamali hao wamesema maonesho hayo licha ya kuwanufaisha kibiashara pia wanapata nafasi ya…

19 November 2021, 11:52 am

Bustani Jiko Mkombozi wa Udumavu

Wananchi Mkoani Katavi wameaswa kujihusisha na kilimo cha Bustani Mkoba ili kuepukana na changamoto ya utapiamlo na udumavu unaosababishwa na ulaji usiofaa Hayo yameelezwa na Gastor Mwakilembe Afisa Kilimo Manispaa ya Mpanda ambae pia ni Mratibu wa mradi wa Bustani…

26 October 2021, 6:35 pm

Wakulima Mkoani Katavi Walia Bei ya Pembejeo

KATAVI Wakulima Mkoani  Katavi wameiomba serikali kuwapunguzia bei  ya  pembejeo za kilimo zikiwemo mbolea pamoja na mbegu. Wakizungumza na Mpanda radio FM wakulima hao  wamesema ili waweze kuendelea kulima kwa faida na kwa haraka wanapaswa kupata pembejeo kwa wakati na…