Mpanda FM

Elimu

23/11/2022, 5:47 PM

Wafanyabiashara wametakiwa kulipa Ushuru

MPANDA Wafanyabiashara Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kutoa ushuru kikamilifu,ili fedha hizo ziweze kusaidia kuboresha miundombinu mbalimbali ikiwamo ya elimu na afya. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Sofia Kumbuli ambapo amesema kuwa swala…

11/10/2022, 11:43 AM

Vijana Waaswa Kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Nyerere

KATAVI. Vijana Mkoani katavi wametakiwa kuwa na utamaduni wa kumuenzi baba wa Taifa Mwalimu Julias Kambalage Nyerere kwa kuwa wazarendo na kudumisha amani ya taifa kuelekea kumbukizi ya miaka 23 ya kifo chake. Kauli hiyo imetolewa na Rafael Peleleza kijana…

04/10/2022, 5:49 AM

Wazazi Chanzo cha Watoto Kujihusisha na Biashara Muda wa Masomo

KATAVI Wazazi kutohusika kwenye malezi ya watoto wao imekuwa ni chanzo cha watoto kujihusisha kwenye shughuli mbalimbali za kujitafutia kipato, muda ambao watoto hao walipaswa kuwa shule. Wakizungumza na mpanda Radio fm baadhi ya watoto wakiwa kwenye shughuli za kujitafutia…

16/09/2022, 4:43 AM

Zaidi ya Wanafunzi 5,000 Kusomea Chini Kata ya Shanwe

MPANDA Zaidi ya wanafunzi  5000 katika  Kata ya Shanwe manispaa ya Mpanda mkoani katavi  hawana sehemu ya  kusomea hali ambayo inapelekea kusomea nje. Akizungumza na Mpanda Redio FM Diwani wa Kata ya Shanwe Masumbuko Makolo kolo amesema kuwa shule zilizopo…

16/09/2022, 4:28 AM

Wananchi Waaswa Kufichua Vitendo vya Kiharifu

KATAVI Wananchi mkoani Katavi wamepaswa kufichua  na kushiriki katika kutoa taarifa na vitendo vya kiharifu ili kukomesha  vitendo hivyo. Hayo yamesemwa na Inspekta Kelvin Fuime  kutoka ofisi ya Kamanda wa Polisi  Mkoa Dawati la Jinsia, ambapo amesema ni wajibu wa…

16/09/2022, 4:07 AM

Watembea kwa Miguu Walia na Waendesha Vyombo vya Moto

MPANDA Baadhi ya watembea kwa miguu katika manispaa ya  mpanda mkoani katavi wamewalalamikia madereva wa vyombo vya moto kutozingatia sheria na alama za usalama barabarani pindi wanapoendesha. Wakizungumza na mpanda redio fm wananchi hao wameeleza kuwa wanakutana na changamoto ya …

05/09/2022, 11:08 AM

Wananchi Wa Ivungwe Walilia Shule Shikizi

IVUNGWE Wananchi wa Kitongoji cha Ivungwe A kijiji cha Kasokola wameulalamikia uongozi wa serikali ya kijiji kwa kushindwa kuendeleza Mpango wa kujenga shule shikizi katika kitongoji hicho licha ya kuchanga pesa na kufyatua tofali. Wakizungumza na Mpanda radio fm wananchi…

08/06/2022, 3:41 PM

MADARASA NA MADAWATI BADO CHANGAMOTO KATA YA KASOKOLA

Kata ya kasokola iliyopo manispaa ya mpanda inakabiliwa na upungufu wa miundo mbinu wa madarasa na madawati katika shule za msingi na sekondari. akizungumza  na Mpanda radio fm katika kipindi Cha kumekucha Tanzania Diwani wa kasokola  Crisant  Andrea Mwanawima amesema…