Mpanda FM

Sauti ya Katavi (Matukio)

17 May 2023, 10:43 am

MPANDA

Zaidi ya Mbwa 621wameuawa kufuatia zoezi lililofanyika kwa awamu nne la kuangamiza mbwa wasio na makazi maalumu ili kuondoa mbwa wenye vichaa ndani ya manispaa ya mpanda.

Zoezi hilo limefanyika katika kata zote za manispaa ya mpanda na kufanikiwa kuua mbwa hao mwandishi wetu GLADNESS RICHARD Anatuhabarisha habari hiyo.

MPANDA

Zikiwa zimepita sikuchache   kufuatia ifanyike siku ya wauguzi duniani Wauguzi Mkoani katavi wametakiwa kufuata miiko na sheria za taaluma hiyo ikiwa ni pamoja na kutunza siri za wateja wao.

Kauli hiyo imebainishwa na Mwenyekiti wa chama cha wauguzi Mkoa wa katavi Juma Masasi kufuatia mazungumzoa aliyofanya na Veronica Mabwile kutokana na maoni ya wananchi.

MPANDA.

Baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamikia kuuziwa mahindi na Wakulima ambayo ayaja kauka ipasavyo.

Wakizungumza na Mpanda Redio FM wamesema mahindi hayo yamekuwa changamoto wakati wa kukoboa na kusaga na kupelekea wasiwasi juu ya madhara yanayoweza jitokeza baada ya kutumia ANNASTAZIA FILIMBI ametusogezea undani wa taarifa hiyo

MICHEZO

 Chama cha volleyball mkoani Katavi wameeleza mikakati yao katika kukuza mchezo wa volleyball mkoani hapa na kitaifa bondia Ibra class ameeleza utayari wake kuelekea pambano lake atalopanda kucheza mei 27 na kimatiafa uefa champions ligi nusu fainali za pili kuanza kuchezwa siku ya leo ac milan akirudiana na inter milan.

 Betord Benjamin na Killian samwel wanakuja na taarifa hizo za kimichezo