

17 September 2023, 4:47 pm
Imeelezwa kuwa wakulima kisiwani Pemba bado wanalima kilimo cha mazoea ambacho hawazingatii maelekezo ya kitaalam juu ya kilimo jambo ambalo linapelekea kukosa mavuno mazuri hasa wale wanaolima kibiashara. Na Khadija Yussuf Wakulima kisiwani Pemba wametakiwa kuacha tabia ya kulima kimazoea…