Mkoani FM

Kipindi: Uchumi wa bluu kuwainua wanawake Pemba

30 August 2023, 12:19 pm

Wanawake wilaya ya Mkoani wanufaika na sera ya uchumi wa bluu kwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali zikiwemo kilimo cha mwani ambacho ni maalum kinacholimwa baharini na kwa sasa ni kilimo biashara ambacho wakaazi wanaoishi mwambao wa bahari wanalima kibiashara.