Mazingira FM

kilimo

29 January 2022, 6:48 pm

Tembo waharibu Ekari 50 za mahindi na mtama

Takribani ekari 50 za mahindi na 10 za pamba kata ya bunda stoo halmashauri ya mji wa bunda zimeliwa na tembo usiku wa kuamkia tarehe 28 jan 2022 Hayo yamesemwa na Afisa kilimo wa kata ya Bunda stoo Mboji Shibole…

12 November 2021, 5:20 pm

Mbegu za pamba sasa wakulima kukopeshwa

Siku moja tangu utaratibu wa kugawa mbegu kwa wakulima kwa njia ya mkopo kuanza kwenye AMCOS ya Kunzugu mkulima mwezeshaji na katibu wa chama hicho cha ushirika amesema mbegu zote zimeisha kwa yale makampuni yaliyoleta fomu za kujaza wakulima wanaokopa…

10 November 2021, 8:58 pm

Bunda; Wakulima wa pamba waomba kukopeshwa pembejeo

Baadhi ya Wakulima wa zao la pamba kata ya Kunzugu Halmashauri ya Mji wa Bunda wameiomba serikali isimamie zoezi la usambazaji wa mbegu ya pamba kwa kuwakopesha wakulima kama ilivyokuwa msimu uliopita tofauti na utaratibu wa msimu huu unaowataka walipie…