Mazingira FM

Uncategorized

9 June 2023, 7:43 am

Zitto: Bei ya pamba iendane na gharama za uzalishaji

Kufuatia kilio cha wakulima wa zao la pamba nchini hususani katika bei ya pamba, chama cha ACT-Wazalendo kimewaelekeza wachambuzi wake kuangalia iwapo bei hiyo inaweza kusaidia mkulima kurejesha gharama zake alizozitumia katika kilimo. Hayo yamebainishwa na kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto…

7 June 2023, 2:12 pm

Zito Kabwe kuunguruma Musoma

Chama cha ACT Wazalendo kesho tarehe 8 Juni 2023 kitafanya mkutano mkubwa wa siasa katika viwanja vya shule ya msingi Mkendo Manispaa ya Musoma mkoani Mara. Hii ikiwa ni mwendelezo wa mikutano yake tangu ilivyozindua mikutano hiyo mwezi Februari 2023…

11 May 2023, 6:40 pm

Bei ya pamba msimu wa 2022/2023 hadharani

Wakulima wa zao la pamba watauza pamba yao kwa bei ya ukomo isiyopungua 1060 kwa msimu wa mwaka 2022 na 2023. Hayo yamesema wa makaguzi wa zao la pamba wilayani Bunda Hemedi Kabea alipozungumza na Mazingira Fm iliyofika ofisini kwake…

5 May 2023, 10:31 am

Mitaro ya Maji kuongeza ulinzi wa Barabara

Wakazi wa kata ya Nyasura Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara wametakiwa kulinda miundombinu ya barabara kwa kuhakikisha mitaro iko safi ili maji yaendelea kupita vizuri pasipo kuharibu barabara. Wito huo umetolewa na Diwani wa Kata hiyo, Mh Magigi…

30 April 2023, 10:17 am

Uwepo wa Sheria ya Ukeketaji itamaliza Ukatili huo Nchini.

Uwepo wa Sheria Mahususi inayopinga vitendo vya Ukeketaji Nchini Tanzania itasaidia kutokomoza Ukatili huu kwenye Jamii zilizoathirika na huo utamaduni3 Hayo yamesemwa na wadau wa kupinga Ukeketaji Nchini Tanzania katika mafunzo kwa waandishi wa habari ambapo lengo kuu la Mafunzo…