Mazingira FM

Tanzia

31 March 2023, 3:24 pm

TANZIA!!!

Uongozi wa Radio Mazingira Fm kwa masikitiko makubwa unatangaza kifo cha mfanyakazi wao Bi.Magreth Samson Misinzo (aliyekuwa mhasibu katika kituo Cha Radio Mazingira) kilichotokea jana tarehe 30 March 2023 saa 11 jioni.

Tunamtukuza Mungu kwa maisha ya Magreth na kumuomba yeye ampokee na kumpumzisha katika makao ya amani ya milele.

Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kuhusiana na msiba huu. Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa na Jina lake Lihimidiwe.