Mazingira FM

TRA Bunda: Yatoa msaada kwa kituo Cha kulea watoto Cha Mt. Frances

25 November 2022, 6:42 pm

 


Mamlaka ya mapato Tanzania wilaya ya Bunda Mkoani Mara imeadhimisha wiki ya shukurani kwa mteja kwa kuepela vitu mbalimbali kama vile Mchele,Sukurani,Mafuta ya kula,Sabuni ,Mafuta ya kujipaka vyenye thamani ya shilingi laki nne na elfu kumi na mbili katika kituo cha Mtakatifu Fransic (ST FRANSIC )Bunda.

 


Akizungumza wakati wa hala hiyo ya utoaji wa shukurani kwa mteja,meneja TRA Bunda Tumain Tinugu amesema.

Kwa uande wake Katibu tawala wilaya ya Bunda,Salum Mtelela kwaniaba ya Mkuu wa wilaya amewapongeza TRA kwa kutambua mchango wa mteja hali ambayo inachochea uwajibikaji kwa kila mtu.