Mazingira FM

Bunda: serikali ya wilaya kumtafuta mwananchi aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha

20 January 2022, 8:50 pm

katibu tawala wilaya ya Bunda Salum Khalfan Mtelela

Waakazi wa kata ya Balili halmasahauri ya mji wa Bunda mkoani Mara wametakiwa kuwa na subira kuhusu kupatikana kwa ndugu yao aliyetoweka katika Mazingira ya kutatanisha.
Akizungumza katika kikao cha kupata ufumbuzi wa suala hilo katibu tawala wilaya ya Bunda Salum Khalfan Mtelela amesema.

Aidha Mtelela amewahidi wakazi wa kata hiyo kuwa serikali itafuatilia suala hilo kwa ukaribu ili kuhakikisha ufumbuzi unapatikana.
Hata hivyo katibu tawala huyo amesema

Awali akifungua kikao hicho muwakilishi wa wakazi wa kata ya balili diwani wa kata hiyo mh. Thomas Tamka amesema.
Kwa mujibu wa wakazi wa kata hiyo wamesema kuwa matukio ya watu kuchukuliwa na taasisi za serikali zinazo husika na masuala ya uhifadhi wa Taifa na wanaohusika na kulinda wanyama pori yamekua ni matukio ya kujirudia mara kwa mara pasina kujua ni wapi wanapelekwa