Mazingira FM

Diwan wa kata ya Neruma wilayani Bunda kupitia CCM afariki dunia

July 2, 2021, 1:15 pm

by Adelinus Banenwa

Diwani wa kata ya Neruma Halmashauri ya wilaya ya Bunda Mh Alfred Maungo

Diwani wa kata ya Neruma Mh. Alfred Maungo amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi

Akizungumza na Mazingira fm Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mh. Charles ManunbuĀ  amethibitisha kifo cha diwani huyo huku taarifa za awali zikitaja mauti yamemkuta akiwa jijini Mwanza siku ya jana Baada ya kupelekwa kwa ajri ya matibabu