Mazingira FM

Dkt Yunge; aitaka jamii izingatie lishe bora

May 18, 2021, 5:32 pm

Mganga mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Dkt Nuru Yunge ameitaka jamii kuzingatia lishe bora ili kupunguza matatizo ya magonjwa

Dkt Nuru Yunge, Mganga mkuu Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

Hayo yamesemwa na  wakati akizungunza na watendaji wa kata 19 za Halmashauri ya Wilaya ya Bunda na kubainisha kuwa suala la lishe ni muhimu kwa kuwa linagusa akili za watu

Naye mkuu wa wilaya ya Bunda Mwl  Lydia Bupilipili amewataka watendaji wa kata na vijiji kuhamasisha wazazi na jamii nzima kwa ujumla kuhusu lishe bora na chakula mashuleni ili watoto waweze kumudu masomo