Mazingira FM

Bonanza kwenda kutalii Bunda maelfu ya watu wajitokeza

May 10, 2021, 8:23 am

Janeth Mayanja Mkurugenzi Bunda mji

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA AKIHAMASISHA UTALII KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA WANYAMA PORI YA SERENGETI

Hayo yamefanyika leo katika bonanza la michezo la Twende Kutalii Serengeti lililoandaliwa na TANAPA kwa kushirikiana na wadau wa utalii #Twendekutalii pamoja na #Mazingirafm katika viwanja vya saba saba Bunda Mjini.

Bonanza hilo limeshirikisha michezo mbalimbali ikiwemo sanaa za maonesho, maigizo uimbaji na mpira wa miguu.