Mazingira FM

Ukeketaji bado ni tishio kwa mabinti

8 April 2021, 4:52 pm

Moja kati ya mila na desturi za Wakurya  mkoani Mara ilikuwa ni ukeketaji kwa kiasi kikubwa madhara ya ukeketaji yalikuwa hayafichuliwi  kutokana unyeti wa suala hilo.

Bi Rhobi Komanchi katikati akiwa na watangazaji wa Redio Mazingira Fm

Rhoda Komanchi mkazi wa Bunda Balili anaeleza kuhusu hatari iliyotokea kwa watoto wake wawili kunusurika kifo baada kufanyiwa ukeketaji hali iliyopelekea kuona kweli mila hiyo si salama kwa ustawi wa jamii ya wanawake.