Mazingira FMHabari za JumlaMwananchi akamatwa kwa kusafirisha Kobe 438 Simiyu Mwananchi akamatwa kwa kusafirisha Kobe 438 Simiyu 2 April 2021, 4:42 pm kobe waliyokutwa kwenye mabegi Jeshi la Polisi linamshikilia Mkazi wa Bunda Mkoani Mara kwa kukutwa akisafirisha Kobe 438 kwenye mabegi matatu bila ya vibali Kobe hao wana thamani ya Shilingi Milioni 71. Share