Mazingira FM

Dkt Mpango kuwa makamu wa Rais

March 30, 2021, 1:40 pm

Dkt Philip mpango baada ya kupendekezwa na  Rais  Mh Samia  kuwa Makamu wa Rais   amepitishwa  na bunge kwa kura  363 ambazo ni kura zote za wabunge waliopiga kura

Mh Dkt.Mpango ataapishwa kesho 31/03/2021 saa tisa  alasiri katika viwanja vya Ikulu  Chamwino jijini  Dodoma.