Karagwe FM

Kagera

13 March 2024, 4:39 pm

CPCT Karagwe kupambana na ukatili wa kijinsia-Makala

Akofu wa kanisa la Calvary Assembles God Tanzania – Kagera ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania CPCT Wilaya Karagwe Askofu Danian Dominic Rwabutikula ameongoza wachungaji wa makanisa hayo na kujadili namna ya kutokomeza vitendo vya…

16 February 2024, 5:45 pm

Mabweni matatu Missenyi yapokea shilingi Milioni 517.8

Halmashauri ya wilaya ya Missenyi imeweka utaratibu wa kufuatilia hali ya utekelezaji wa miradi iliyopokea fedha za serikali kila robo ambapo kwa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2023/2024 wameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya elimu afya na maji…

29 January 2022, 10:01 pm

Halmashauri ya Missenyi yatoa mkopo shilingi Milioni 294.8

Halmashauri ya Wilaya Missenyi imetoa mikopo isiyo na riba yenye thamani ya shilingi milioni 294.8 kwa vijana,wanawake na watu wenye ulemavu Katika tukio lakukabidhi mikopo hiyo kwa vikundi 50 vya wajasiriamali, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Missenyi Projestus Tegamaisho amesema…

16 December 2021, 3:22 pm

CWT Kagera, jiungeni na Benki ya Walimu

Katibu wa chama cha Walimu Tanzania CWT Mkoa Kagera Tinda Paulini amewaasa viongozi wa chama hicho wilayani Missenyi mkoani Kagera kuwekeza katika Benki ya Walimu ili kuondokana na mikopo kandamizi inayotolewa na baadhi ya taasisi za kifedha Akifunga mafunzo kwa…

23 November 2021, 6:32 pm

Jeshi la Akiba laomba kupewa kipaumbele.

Wahitimu wa Mafunzo ya awali ya Jeshi la akiba Wilaya Missenyi Mkoani Kagera wameiomba serikali kuwatafutia ajira kwa kuwapa kipaumbele katika nafasi za kazi ya Ulinzi zinazotangazwa serikalini na katika taasisi binafsi Katika Risala ya wahitimu iliyosomwa na MG Renatus…

15 November 2021, 11:30 am

Miradi ya Maendeleo yatengewa Bilioni 3.3

Zaidi ya shilingi bilioni tatu zimetolewa kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Karagwe kama pesa iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwaajili ya mapambano dhidi ya Uviko-19. Akizungumza na Redio Karagwe Fm sauti ya…

9 November 2021, 11:52 am

200 wapewa mbinu ili kutimiza ndoto zao.

Imeelezwa kuwa suala la vijana kutumiwa na baadhi ya vikundi vya watu kuanzisha vurugu mbalimbali inaweza kuwa chanzo kikubwa cha kuhatarisha amani ya nchi na kuharibu ndoto za vijana kufikia malengo yao. Akizungumuza novemba 7 mwaka huu wakati wa kufunga…

6 November 2021, 11:35 am

Kitendawili kizito chateguliwa Bushenya!

Wananchi wanaoishi katika msitu wa Bushenya kata ya Nsunga wilaya ya Missenyi wametakiwa kuhama katika maeneo hayo kabla ya serikali kuanza operesheni ya kuwaondoa. Agizo hilo limetolewa na mkuu wa wilaya Misenyi Kanali Wilson Sakulo kupitia kikao cha Baraza la…

29 September 2021, 7:20 am

Katunguru wajisaidia vichakani na ziwani.

Baadhi ya wavuvi wanaofanya shughuli zao katika mwalo wa Katunguru kata ya Gwanseri wilayani Muleba wako hatarini kupata mlipuko wa magonjwa kutokana na mwalo huo kutokuwa na choo hali inayosababisha baadhi yao kujihifadhi vichakani na ziwani.