Karagwe FM

Katunguru wajisaidia vichakani na ziwani.

29 September 2021, 7:20 am

Baadhi ya wananchi wakiwa katika mwalo wa Katunguru – Muleba

Baadhi ya wavuvi wanaofanya shughuli zao katika mwalo wa Katunguru kata ya Gwanseri wilayani Muleba wako hatarini kupata mlipuko wa magonjwa kutokana na mwalo huo kutokuwa na choo hali inayosababisha baadhi yao kujihifadhi vichakani na ziwani.

Taarifa kamili na -Mwandishi wetu Jovinus Ezekiel