Karagwe FM

Viongozi: Epukeni upendeleo TASAF

11 August 2021, 7:16 am

Viongozi kwa kushirikiana na wananchi wilayani Karagwe wametakiwa kupitisha wananchi wenye kaya masikini kwa kuzingatia sifa za walengwa wa mfuko wa TASAF bila upendeleo ili kuepusha manung’uniko.

TASAF – KARAGWE

wito huo umetolewa naye bwana AhamWito huo umetolewa na Bwana Ahamed Mafyu Kwaniaba ya Mkurugenzi mkuu wa TASAF Agosti 10 mwaka huu kupitia kikao kazi cha kujenga uelewa kuhusu mpango wa TASAF kipindi cha pili awamu ya tatu.

Ahamed Mafyu Msemaji toka TASAF