Makwasa
Karagwe FM

Ulinzi kuimarishwa wakati wa Eid.

12 May 2021, 3:35 pm

Jeshi la Polisi wilaya ya Karagwe mkoa wa Kagera  limeanzisha doria maalumu kwaajili ya kupambana na vitendo vya uharifu na kuimarisha usalama wakati wa sikukuu ya Eid EL Fitri.

Henry Mkwasa – mkuu wa Jeshi la Polisi (W) Karagwe

Henry Benard Makwasa ni Mkuu wa Jeshi la Polisi wilaya ya Karagwe amesema Jeshi hilo limejipanga vyema kukomesha uharifu na kuhakikisha wananchi wanasherekea kwa amani sikukuu ya Eid EL Fitri.

Ameyasema hayo May 12 mwaka huu alipozungumza na Redio Karagwe Fm sauti ya wananchi akiwa ofisini kwake.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Karagwe – Henry B. Makwasa