Karagwe FM

Bilakwate: Gongo iruhusiwe Kagera

5 May 2021, 2:40 pm

Mbunge wa jimbo la Kyerwa mkoani Kagera Innocent Bilakwate ameiomba serikali kuruhusu pombe ya moshi au Gongo inayotokana na ndizi kali maarufu kama “ENKONYAGI au KARIINYA” akidai kuwa pombe hiyo ni halali kwa sababu inatokana na ndizi ambazo ni chakula kikuu mkoani Kagera.

Amesema hayo Mei 4, 2021 Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia katika kikao cha Bunge la bajeti kinachoendelea

Sauti ya Mbunge wa Kyerwa bw.Innocent Bilakwate