Karagwe FM

“Viongozi wa chama na serikali tekelezeni Ilani”

14 April 2021, 5:53 pm

Wanachama na viongozi wa serikali wametakiwa kuwa wamoja katika kuwahudumia wananchi ili kufikia maendeleo yanayotarajiwa

Katibu wa CCM (W) Karagwe Anathory Nshange akisalimiana na viongozi wa chama ngazi ya kata

Amesema hayo katibu wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Karagwe mkoani Kagera Bw.Anathory Nshange wakati wa ziara yake ya kuimarisha utawala bora ndani ya chama na serikali iliyofanyika April 13 katika kata za Igurwa na Kanoni

Mwandishi wetu Ospicia Didace ameandaa taarifa ifuatayo

Sauti ya mwandishi Ospicia Didace