Shekhe Nassibu Adu
Karagwe FM

Watakiwa kufunga na kutoa sadaka

12 April 2021, 9:29 pm

Waumini wa dini ya Kiislamu wilayani Karagwe wametakiwa kuwasaidia watu wenye uhitaji wakati wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani ili wapate baraka toka kwa Mwenyezi Mungu.

Haya ni kwamujibu wa Shekhe Nassibu Abdu Abdallah Shekhe wa wilaya Karagwe ambaye  amewahimiza waislamu kujiandaa kikamilifu kwaajili ya kuanza mfungo mtukufu wa ramadhani.

Nassibu Abdu Abdallah – Shekhe wa wilaya Karagwe.
Sauti ya shekhe Nassibu Abdu Abdallah.