TAKUKURU KAGERA
Karagwe FM

Mkufunzi ashikiliwa kwa rushwa ya Ngono.

8 April 2021, 2:25 pm

Mkufunzi mmoja wa chuo cha Kilimo Maruku kilichoko katika Halmshauri ya wilaya ya Bukoba anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Kagera baada ya kunaswa katika nyumba ya wageni Mjini Bukoba akimshawishi kumpa rushwa ya ngono na kumtisha mwanafunzi wa chuo hicho kuwa asipotekeleza matakwa yake atamsababishia kutohitimu masomo yake chuoni hapo.

Mkuu wa TAKUKURU Mkoa Kagera bwana John Joseph