Kahama FM
UJENZI
September 27, 2021, 6:50 pm
Kahama:Mbunge wa Kahama mjini achangia ujenzi wa shule ya Sekondari Malunga.
Mbunge wa jimbo la Kahama Mjini JUMANNE KISHIMBA amechangia millioni moja na laki moja kwa ajili ya kukunua matofali ya kukamilisha ujenzi wa sekondari ya Kata ya Malunga wilayani Kahama Mkoani Shinyanga iliyoanza kujengwa hivi karibuni. Akizungumza katika ziara yake…