Kahama FM
Samia Suluhu
March 28, 2021, 1:20 pm
Rais Samia amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari T…
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini TPA Mhandisi Deusdedit Kakoko, kupisha uchunguzi wa ubadhirifu wa fedha bandarini. Rais Samia amefikia uamuzi huo leo Jumapili, Machi 28, 2021 baada ya…