Kahama FM
fisi
September 27, 2021, 3:53 pm
SHINYANGA: Fisi aua mtoto wa miaka 3 wakati akicheza na wenzake.
Mtoto aliyejulikana kwa jina la Raphael Juma Dotto mwenye umri wa miaka mitatu amefariki dunia baada ya kushambuliwa na mnyama Fisi wakati akicheza nyumba ya jirani na watoto wenzake katika mtaa wa Majengo Mapya kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.…