Kahama FM
CAG
March 28, 2021, 1:37 pm
Ripoti ya CAG yabaini dosari ya matumizi ya fedha yanayofanywa na vyama vya sias…
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kicheere imeendelea kubaini dosari ya matumizi ya fedha yanayofanywa na taasisi na mashirika ya umma pamoja na vyama vya siasa. CAG amesema kati ya hati 900 alizozikagua, hati…