Kahama FM
ardhi kahama
January 6, 2022, 12:17 pm
KAHAMA:Bibi anamtafuta Bwana Nelson Bujaga amkabidhi kiwanja chake.
Mkazi wa Bukondamoyo kata ya Muhungula Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga Bi Monica Athanas anawaomba wasamalia wema wanaomfahamu Bwana Nelson Samatini Bujaga au ndugu zake wamtafute ili aweze kuwakabidhi shamba la ukubwa wa robo tatu alilonunua Bwana Bujaga mwaka 2013…