MWENGE
Kahama FM

DC KISWAGA:Wana Kahama Jitokezeni Julai 12 kuupokea Mwenge wa Uhuru.

July 9, 2021, 6:29 pm

Mkuu wa wilaya ya Kahama Mh Festo Kiswaga amewataka wananchi wa Manispaa ya Kahama kujitokeza kwa wingi kuupokea mwenge wa Uhuru ambao unatarajia kuingia manispaa ya Kahama Tarehe 12/7/2021.

Kiswaga amesema kuwa mwaka huu mwenge wa uhuru utapokelewa na baada ya kuzunguka na kufungua miradi utaenda kukesha katika Uwanja wa Mpira Kata ya Nyamilangano halmashauri ya Ushetu.

MKUU WA WILAYA YA KAHAMA MH FESTO KISWAGA