Kahama FM

Bunge laidhinisha DKT.PHILIP MPANGO kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

March 30, 2021, 1:03 pm

Dr.Philip Mpango Makamu wa rais mteule

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemthibitisha DKT. PHILIP MPANGO kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa 100%, Wabunge waliopiga kura ni 363 na wote wamepiga kura ya NDIO, hakuna kura iliyoharibika.