Jamii FM

Mitungi ya Gesi

16 November 2023, 13:13 pm

Biteko awasha umeme wa REA Mtwara

Na Grace Hamisi Naibu Waziri mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Novemba 15,2023 amewasha umeme wa ujazilizi katika maeneo ya vijiji – miji awamu ya III mitaa ya Pachoto A, Pachoto B na Pwani kata ya Naliendele mkoani…

28 October 2023, 14:10 pm

Zoezi la ugawaji vitambulisho vya NIDA lazinduliwa

Wananchi wote ambao hawajasajiliwa kufika kwenye ofisi hizo kwa ajili ya kupata utaratibu awali kwa ajili ya kusajiliwa ili na wao waweze kupata vitambulisho hivyo kama wengine Na Musa Mtepa; Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanali Ahmadi Abasi, Oktoba 27,2023…

17 October 2023, 14:25 pm

Siku ya mwanamke anayeishi kijijini

Suala la ukatili bado linaendelea  katika jamii huku suala la undugu likiwa kikwazo kutokomeza, wanajamii wamekuwa wakifichiana matukio hayo hasa  rushwa ya ngono katika maeneo ya kazi na taasisi za elimu. Na Musa Mtepa Wananchi  mkoani Mtwara wametakiwa kukomesha vitendo…

14 September 2023, 06:58 am

Binti mwenye ulemavu atuhumiwa kujinyonga hadi kufa

Marehemu amekutwa amefungwa kamba aina ya Manila shingoni huku puani akichuruzika Damu. Na Musa Mtepa Katika hali isiyo ya kawaida Samia Ahmad Mohamed (20), mkazi wa kijiji cha Sinde, Msangamkuu Halmashauri ya wilaya ya Mtwara, mlemavu wa mikono na miguu…

9 September 2023, 17:01 pm

Rais Samia kufanya ziara ya siku 4 Mtwara

Hii ni Mara ya kwanza kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani kufanya ziara mkoani Mtwara akiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ambapo kwa mara ya mwisho alifanya mwaka 2016 akiwa Makamu wa Rais. Na Musa Mtepa Rais wa…

9 August 2023, 17:43 pm

Wasanii Mtwara kuchangamkia fursa

Na Msafiri Kipila Serikali imeendelea kuwawezesha na kutoa mafunzo kwa wasanii mkoani MtwaraAgosti 07, 2023 katika Ukumbi Wa TTC Kawaida hapa Mtwara, ili wasanii wapate mikopo na kujiajiri, kushiriki kwenye shughuli za maendeleo na kuchangia pato la taifa. Katika mwaka…

26 July 2023, 07:41 am

Mashujaa waomba kazi zao zienziwe

Tunaiomba Serikali kutosahau Mashujaa tuliopo na kuenzi kazi tulizozifanya kwa taifa letu Na Msafiri kipila Kila Ifikapo Julai 25 ya Kila mwaka Tanzania huadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa ambapo kitaifa imeadhimishwa katika Uwanja wa Mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba…

13 July 2023, 15:35 pm

Timu ya Mtoto Kwanza yatambulishwa Mtwara

Na Gregory Millanzi “Sisi kwenye mkoa wetu huu watoto wana shida kubwa ya kufanyiwa ukatili wa kijinsia, najua kupitia KIMAS na mradi huu utapambana na hatari zote ambazo zinatokana na hawa watoto, pia itaongeza uelewa wa malezi na makuzi ya…

12 May 2023, 14:24 pm

Wakulima wa Mihogo waipongeza TARI Naliendele

Na Mussa Mtepa. Wakulima wa zao la mihogo kutoka kijiji cha Mkunwa Halmashauri ya Wilaya Mtwara Mkoani Mtwara wameshukuru kituo cha utafiti na kilimo cha TARI Naliendele kwa kitendo cha kuwashirikisha kwenye utafiti wa zao hilo kwani wameweza kutambua umuhimu…