Jamii FM

Mtwara news

22 April 2024, 16:30 pm

Watumishi wa umma watakiwa kufanya kazi kwa weledi

Inaonesha kumekuwa na ongezeko la vitendo vya utovu wa nidha kwa  watu wa umma wakiwa kazini ikiwemo Rushwa na upungufu wa maadili. Na Mwanahamisi Chikambu Kamishina wa utumishi umma  Balozi John Haule amewataka watumishi wa umma mkoa wa Mtwara kufanya…

10 April 2024, 23:17 pm

RPC Mtwara: Zingatieni sheria za usalama barabarani

kKuvaa kofia ngumu kwa mwendesha wa pikiki ni suala la kisheria hivyo ni wajibu kwa maafisa usafirishaji (Bodaboda) wote mkoani Mtwara na abiria wake kuzingatia sheria hiyo. Na Musa Mtepa Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara Kamishna Mwandamizi…

6 April 2024, 20:58 pm

RC Kanali Sawala aitaka jamii ya Mtwara kuliombea Amani Taifa

 Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanal Patrick Sawala akitoa neno la shukrani kwa hadhira iliyojitokeza kufuturu hapo jana(Picha na Mtwara rs) Binadamu hakuna aliyekamilika  mmoja anaweza kumkosea mwingine kwa bahati mbaya bila kutambua hivyo tuendelee kusameheana Na Musa Mtepa Mkuu…

25 November 2021, 11:37 am

Tume ya Haki za Binadamu watoa elimu

“Hatuwezi kufanya peke yetu tunajua kwamba Tume ni Taasisi huru ya Serikali lakini lazima tufanye kazi kwa pamoja kwahiyo ni wajibu wetu mkubwa kama alivyosema ndugu yangu Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa tuendelee kuelimisha ndugu zetu Wananchi kwenye maeneo mbalimbali lakini…

9 July 2021, 16:30 pm

VIKUNDI 52 KUKOPESHWA MILIONI 205 MTWARA

Na Karim Faida. Jumla ya vikundi 52 kutoka Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, wamepewa mkopo wenye thamani ya Tsh 205,047,000. Hayo yametanabaishwa na Afisa maendeleo ya jamii manispaa ya Mtwara mikindani mkoani hapa Bi Juliana Manyama jana katika hafla…

3 May 2021, 12:40 pm

Viongozi, wapeni ushirikiano waandishi wa habari

Na Karim Faida Waandishi wa habari mkoa wa Mtwara wamekuwa wakikosa ushirikiano kutoka kwa baadhi ya viongozi wa serikali pale wanapohitaji Kuweka mizania ya habari zao huku sababu ikiwa ni kuhofia kupoteza nafasi zao za kazi. Hayo yamesemwa leo katika…

8 April 2021, 19:35 pm

Wananchi hameni

Wananchi waishio Kando ya bwawa la Kijiji Cha Msakala, kata ya Ziwani Mtwara Vijijini Jana Tarehe 07 Aprili, 2021 wametakiwa kuondoka mara Moja kuepuka kadhia ya kuharibiwa Makazi yao pindi bwawa linapojaa. Maagizo hayo yametolewa na Mkuu wa Wilaya ya…

8 April 2021, 17:32 pm

Kizito aibuka mshindi uchaguzi TCCIA

Kizito Garnoma ameibuka mshindi kwa nafasi ya Mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara, kilimo na Viwanda TCCIA mkoa wa Mtwara kwa miaka minne ijayo. Kizito amechaguliwa kushika wadhifa huo leo katika ukumbi wa Tiffany Diamond Mtwara huku akishinda kwa kura 45…