Jamii FM

Kilimo

17 September 2023, 17:20 pm

Ushirika kuuza korosho kidijitali msimu huu

Na Gregory Millanzi Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) wanatarajia kuuza korosho kwa mfumo wa kidijitali kwa msimu wa mazao wa 2023/2024 mfumo ambao utatumia kompyuta kwenye kila chama cha ushirika cha msingi (AMCOS) na kutumia mizani ya kidijitali ili…

10 July 2023, 16:20 pm

Wananchi mikoa ya kusini kunufaika na mikopo ya kilimo

Wananchi wa mikoa ya kusini Lindi, Mtwara na Ruvuma wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwepo wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania  (TADB) Kanda ya Kusini  katika kupata uelewa na utaratibu wa kupata mikopo ili  kupata vifaa vya kisasa  vitakavyowezesha kuleta…

28 June 2023, 14:50 pm

Pembejeo za ruzuku zawafikia wakulima Mtwara

Mchakato wa ugawaji wa pembejeo ya ruzuku kwa wakulima wa zao la korosho umeanza kuwafikia wakulima   katika maeneo mbalimbali  nchini. Akizungumzia mchakato huo Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania Ndugu Francies Alfred amesema kuwa kwa miaka miwili iliyopita ugawaji…

31 January 2023, 12:07 pm

Wanawake washauriwa kukuza kipato cha familia

“Wanawake wa Mkoani Mtwara wameshauriwa kupambana katika kutafuta  na kuongeza kipato cha familia  na kuachana na tabia ya kuwaacha wanaume pekee katika kutekeleza majukumu ya Nyumbani.“ Na Mohamed Massanga Akizungumza na Jamii fm Radio Mwenyekiti wa kikundi cha ‘’LIYAKAYA  WOMENI GROUP’’…

21 May 2021, 15:05 pm

Nyumba yateketea kwa moto

Na Karim Faida Wananchi wa mtaa wa Mmingano kata ya Tandika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani hapa wameguswa na tukio la moto lililotokea Mapema Asubuhi ya leo ambapo nyumba ya Ndugu Sefu Bahili imeungua yote na hakuna kilichookolewa. Akiongea na…