Uncategorized
April 23, 2024, 4:25 pm
Wasichana 10114 wenye umri chini ya miaka 14 kupatiwa chanjo ya HPV
Wasichana 10114 wenye umri chini ya miaka 14 wilayani Ileje Mkoani Songwe wanatarajia kupatiwa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi(HPV). Katika uzinduzi huo ambao umefanyika leo April 23,2024 katika shule ya sekondari Ileje na Mkuu wa wilaya hiyo Farida…
March 18, 2024, 4:33 pm
Viongozi wa dini hamasisheni waumini wajenge mwabweni ya shule
Denis Sinkonde, Songwe Ili kukabiliana na mimba kwa wanafunzi wilayani Ileje mkoani Songwe viongozi wa dini wametakiwa kuwahamasisha waumini wao kujitolea kujenga mabweni kwenye shule za sekondari ili kuwaondolea adha wanafunzi wa kike kufuata masomo umbali mrefu. Hayo yamesemwa jana…
October 11, 2023, 4:24 pm
Dc Ileje awapiga marufuku vijana kufanya mapenzi na wazee wao
Na Denis Sinkonde, Songwe Mkuu wa wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Farida Mgomi amewapiga marufuku wanawake watu wazima kujihusisha na mapenzi na vijana wa kiume wenye umri mdogo. Mgomi amesema hayo wakati wa mkutano wa kijiji Oktoba 10 mwaka…
October 3, 2023, 6:01 am
DC Ileje aagiza machifu wapewe ushirikiano
Na Denis Sinkonde Mkuu wa wilaya ya Ileje mkoani Songwe Mhe.Farida Mgomi amewaagiza viongozi wa serikali wilayani humo kutoa ushirikiano na machifu kukemea matukio ya uvunjifu wa amani na uharibifu wa mazingira. Mgomi amesema hayo Oktoba 2,2023 ikiwa ni siku…
October 21, 2021, 9:11 am
watoto 20 kati ya 85 wakutwa na udumavu Ileje
Watoto 20 kati ya 85 wamekutwa na udumavu katika kiijiji cha Igumila wilayani Ileje mkoani Songwe baada ya kupimwa na wataalamu wa afya wakati wa kutoa elimu juu ya umuhimu wa lishe ikiwa ni kuelekea maadhimisho ya siku ya lishe…
October 19, 2021, 12:03 pm
Kamanda wa polisi akanusha askari kupasuliwa fuvu la kichwa Songwe
kamanda wa polisi mkoa wa Songwe Janeth Magomi amekanusha taarifa iliyosambaa kwenye vyombo vya habari juu ya baadhi ya askari wa jeshi la polisi wilayani Mbozi kupasuliwa fuvu la kichwa na wananchi wenye hasira kali wa kijiji cha Mpanda kata…
October 15, 2021, 12:07 pm
Songwe kutimiza ndoto ya Mh. Samia Januari 2022
Mkoa wa Songwe umetangaza mkakati mahususi wa kukusanya kiasi cha shilingi milioni 200 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya msingi itakayowezesha kufunguliwa na kupokea wanafunzi kwa shule ya wasichana ya Mkoa inayojengwa katika eneo la Myunga,Wilayani Momba mkoani…
October 13, 2021, 8:58 am
Ulaji wa kinyesi kibichi unavyosababisha vifo kwa watoto wadogo
Hayo yalibainishwa na wakati wa uzinduzi wa kampeni ya usafi mazingira na matumizi bora ya vyoo, uliozinduliwa Kimkoa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Omary Mgumba Mjini Vwawa, Wilayani Mbozi. Mgumba amesema Ugonjwa wa kuhara unaosababishwa na ulaji wa…