Huheso FM

Uncategorized

March 6, 2024, 3:56 pm

Wananchi walalamikia miundombinu ya barabara Kahama

Na, Neema Nkumbi–Huheso FM Wananchi wa Kata ya Mhongolo Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga walalamikia miundombinu ya barabara kuwa mibovu wakati walipokuwa wakizungumzia kuhusu hali ya miundombinu ya Barabara. Mmoja wa wananchi hao aliejitambulisha kwa jina Obed Nyangi amesema kuwa barabara…

June 17, 2022, 12:46 pm

HABARI ZA SENSA ZITOKE KWENYE VYANZO SAHIHI

Wahariri wa vyombo vya habari vya Redio jamii wameombwa kuhakikisha wanashiriki zoezi la sensa kwa weledi kwa kutoa taarifa za habari zenye vyanzo sahihi kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Hayo yamesemwa na muwasilisha mada Dkt. Abubakar Rajab katika mafunzo ya…

March 25, 2022, 7:17 pm

Wananchi watakiwa kushiriki anuani za makazi

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga Clemence bernald Mkusa amewataka wananchi wilayani humo kushiriki kikamilifu kwenye zoezi la anuani za makazi ili kurahisisha watoaji wa huduma ya sensa kufahamu mipango ya maendeleo katika  jamii. Ameyasema hayo leo katika…

March 14, 2022, 1:51 pm

Wajumbe MTAKUWA wapanga mikakati ya kupinga ukatili wa kijinsia.

Wajumbe wa kamati ya MTAKUWA Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wamekutana katika kikao  cha Mradi wa Mwanamke Amka ili kujadili mpango kazi ambao utatokomeza ukatili wa kijinsia huku wanaume wakitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa kinacho chochea ukatili. Akizungumza wakati wa kikako…

March 12, 2022, 12:21 pm

Madimbwi ya maji changamoto katika makazi ta watu

Kutokana na kuwepo kwa madimbwi ya maji kwenye maeneo ya makazi ya watu katika msimu wa huu wa mvua wananchi wa Mtaa wa Sokola Kata ya Majengo iliyopo Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wamesema wanachukua tahadhari ya  kuziba madinbwi hayo…

March 12, 2022, 12:09 pm

Elimu yaendelea kutolewa kupinga ukatili wa kijinsia.

Ili kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia katika manispaa ya kahama Mkoani shinyanga wajumbe wa mradi wa mwanamke amka wametakiwa kuendelea kutoa elimu kwenye jamii hasa kwa watoto walioko mashuleni. Hayo yamesemwa na mkuu wa dawati la jinsia na watoto…

January 21, 2022, 12:12 pm

zima moto wajipanga kukabiliana na majanga ya moto

Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga, Hanafi Mkilindi, amesema jeshi hilo limejipanga kikamilifu katika kukabiliana na majanga yatakayotokea kipindi hiki cha mvua.. Akizungumza ofisini kwake leo amesema kwa kushirikiana na wananchi watafanikiwa katika kukabiliana…

January 12, 2022, 5:45 pm

Manispaa ya Kahama wazindua Jukwaa la uwekezaji Wanawake kiuchumi

Jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga limezinduliwa leo lengo likiwa kuwazesha wanawake katika sekta mbalimbali za kiuchumi. Uzinduzi wa jukwaa hilo la wanawake kiuchumi umefanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Kahama ambapo mgeni rasmi akiwa katibu…